Russia. Usonji kitabibu hujulikana kama Autism, ni dosari katika ukuaji wa ubongo ambayo ni sehemu ya mfumo wa Neva inayoathiri mawasiliano, mwingiliano wa kijamii na tabia. Kwa mujibu wa takwimu za ...
Pichani ni Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman. Mtwara. Mbinu ya kujifanya bubu ili kuomba misaada kutoka kwa taasisi na wananchi imemponza kijana mmoja baada ya kukamatwa na ...
Mwanza. Kufungua swaumu ni hatua muhimu baada ya saa nyingi za kujinyima chakula na kinywaji. Ni wakati ambao mwili unahitaji kurejeshewa nguvu, maji na virutubisho vilivyopungua kwa muda wa mchana.
Beki wa Kulia wa Taifa Stars, Haji Mnoga wakati akijaribu kuwatoka wachezaji wa Liechtenstein katika mechi ya kirafiki ya FIFA Series 2026 iliyofanyika katika Uwanja wa Pele, Kigali, Rwanda, Machi 26, ...
Manchester, England. Beki wa Manchester United, Harry Maguire yupo hatua za mwisho kukubaliana na klabu hiyo kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja, huku akisisitiza kuwa anataka kuthaminiwa ndani ya ...
Barcelona, Hispania. Barcelona inapanga kufanya mabadiliko katika kikosi chake kwa kumuuza mshambuliaji Ferran Torres katika dirisha lijalo la usajili ili kupata fedha za kumsajili moja kwa moja ...
Mvutano kati ya Marekani na Iran umechukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuanza kujiandaa kwa uvamizi wa ardhini kufuatia Tehran kukataa mpango wa amani uliowasilishwa hivi ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mwanza juu ya Meli ya Mv New Mwanza, Machi 22, 2026. Picha na Saada Amir. Mwanza. Serikali ya Tanzania imesisitiza ...
Beki wa Arsenal, Ben White ameitwa na meneja Thomas Tuchel kuchukua nafasi ya Jarell Quansah ambaye ameumia. Picha na Mtandao Baada ya kukaa nje ya kikosi cha England tangu alipokuwemo mara ya mwisho ...
Mbeya. Mvua kubwa inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini imesababisha maafa ya vifo vya watu 18 kati yao 14 ni watoto Kata ya Nkunga, Lupepo, Kawetele na Ikuti wilayani Rungwe. Vifo hivyo ...
Dodoma. Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 ...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Simiyu, imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 aliyokuwa amehukumiwa Majingwa Ndushi baada ya kubaini kasoro za kisheria katika namna hukumu ilivyotolewa na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results