Russia. Usonji kitabibu hujulikana kama Autism, ni dosari katika ukuaji wa ubongo ambayo ni sehemu ya mfumo wa Neva inayoathiri mawasiliano, mwingiliano wa kijamii na tabia. Kwa mujibu wa takwimu za ...
Mshtakiwa Hamid Husain(39) akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kusomewa mashtaka 43 yakiwemo ya wizi wa Sh5bilioni na kughushi stakabadhi za kawaida ...
Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Ostadh Swalehe Shekanga aliyeuwawa kikatili kwa kupatwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni panga karibu na nyumbani kwake Mawei wakati alipokuwa akitokea msikitini ...
Mwanza. Kufungua swaumu ni hatua muhimu baada ya saa nyingi za kujinyima chakula na kinywaji. Ni wakati ambao mwili unahitaji kurejeshewa nguvu, maji na virutubisho vilivyopungua kwa muda wa mchana.
Beki wa Kulia wa Taifa Stars, Haji Mnoga wakati akijaribu kuwatoka wachezaji wa Liechtenstein katika mechi ya kirafiki ya FIFA Series 2026 iliyofanyika katika Uwanja wa Pele, Kigali, Rwanda, Machi 26, ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, profesa Carolyne Nombo (kulia aliyekaa) na makamu wa Rais wa Chuo Kikuu cha Limerick nchini Ireland nayeshughulikia masuala ya kimataifa, Profesa ...
Dar es Salaam. Kipa wa Yanga, Djigui Diarra amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu na adhabu ya faini ya Sh4 milioni kutokana na makosa mawili tofauti ya utovu wa nidhamu aliyofanya katika mchezo ...
Manchester, England. Beki wa Manchester United, Harry Maguire yupo hatua za mwisho kukubaliana na klabu hiyo kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja, huku akisisitiza kuwa anataka kuthaminiwa ndani ya ...
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangwala akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Rombo. Sakata la mama aliyejitokeza mbele ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, akidai ...
Mvutano kati ya Marekani na Iran umechukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuanza kujiandaa kwa uvamizi wa ardhini kufuatia Tehran kukataa mpango wa amani uliowasilishwa hivi ...
Bagamoyo. Pamoja na jitihada za Serikali za kujenga shule za sekondari katika kila kata nchini, uchunguzi wa Mwananchi umebaini kwamba baadhi ya wanafunzi bado wanatembea umbali mrefu kwenda shule na ...