Mshtakiwa Hamid Husain(39) akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kusomewa mashtaka 43 yakiwemo ya wizi wa Sh5bilioni na kughushi stakabadhi za kawaida ...
Beki wa Kulia wa Taifa Stars, Haji Mnoga wakati akijaribu kuwatoka wachezaji wa Liechtenstein katika mechi ya kirafiki ya FIFA Series 2026 iliyofanyika katika Uwanja wa Pele, Kigali, Rwanda, Machi 26, ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, profesa Carolyne Nombo (kulia aliyekaa) na makamu wa Rais wa Chuo Kikuu cha Limerick nchini Ireland nayeshughulikia masuala ya kimataifa, Profesa ...
Manchester, England. Beki wa Manchester United, Harry Maguire yupo hatua za mwisho kukubaliana na klabu hiyo kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja, huku akisisitiza kuwa anataka kuthaminiwa ndani ya ...
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema yeyote atakayejitangaza kutoa huduma za tiba sili awe amesajiliwa. Mchengerwa ametoa maagizo hayo kwenye banda la Taasisi ya Utafiti wa ...
Mvutano kati ya Marekani na Iran umechukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuanza kujiandaa kwa uvamizi wa ardhini kufuatia Tehran kukataa mpango wa amani uliowasilishwa hivi ...
Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Afrika (AU) katika eneo la Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu. Dar es Salaam. Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya ...
Mbeya. Mvua kubwa inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini imesababisha maafa ya vifo vya watu 18 kati yao 14 ni watoto Kata ya Nkunga, Lupepo, Kawetele na Ikuti wilayani Rungwe. Vifo hivyo ...
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imetoa ushauri na maelekezo yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa fedha na ukamilishaji wa miradi hiyo jijini Mwanza.
Kauli ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakary Zubery imeibua tafakuri pana kuhusu umuhimu wa kulinda mshikamano wa kidini nchini, hasa katika nyakati hizi ambazo taarifa potofu na uchochezi ...
Dodoma. Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 ...
Mwenye kofia mbele ni Mbunge wa jimbo la Chato Kusini, Pascal Lutandula katikati ni aliyekuwa Mwenyekiti Halmashauri wilaya ya Chato, Barthorimeo Manunga na mwisho ni Mbunge wa Chato Kuskazini, Cornel ...