Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu.
GWIJI wa Manchester United, David Beckham, anaamini kocha Michael Carrick anastahili kupewa mkataba wa muda mrefu zaidi kwa sababu ya mambo saba.
APRILI 3 Ligi Kuu ya Wanawake Bara itarejea ikiwa ni mzunguko wa pili kufuatia mapumziko ya mwezi wa kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwenye mashindano ya WAFCON na Kombe la Dunia ...
INAELEZWA kwamba, mshambuliaji wa Coastal Union, Adam Salamba, ameamua kujiweka kando na timu hiyo kwa sasa, baada ya kudaiwa ...
Keshokutwa Jumatano Aprili Mosi 2026, Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea ambapo kwa mwezi huo pekee hadi unakamilika, kuna kitu kinaweza kuamuliwa kwa baadhi ya timu zinazoshiriki ligi hiyo. Hadi lig ...
WIKI iliyopita ilikuwa ya maumivu makubwa kwa mashabiki wa Liverpool baada ya supasta wa kikosi hicho, Mohamed Salah kutangaza kuwa ataondoka ifikapo mwisho wa msimu.
KOCHA Mkuu wa timu ya kikapu kwa wanawake ya Orkeeswa kutoka Arusha, Benjamin John amesema ushiriki wao katika mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation ni sehemu ya maandalizi ya kikosi ...
MENEJA Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar, Haji Haji, amesema Serikali ina mpango wa kujenga laini maalumu kutoka Mtoni hadi Mji wa Afcon (Afcon City) uliopo Fumba ili kuondosha changamoto ...
BAADA ya kusajiliwa na Riga FC ya Latvia, kiungo mshambuliaji Abdu Mandeke amesema malengo yake yametimia kutua barani Ulaya, lakini anatamani kucheza na kuonyesha kiwango bora ili ...
MSHAMBULIAJI Mtanzania Said Khamis Said Jr anayekipiga katika timu ya Imigresen ya Ligi Kuu Malaysia ameamua kupigania kiatu cha dhahabu katika mashindano hayo akimkimbiza polepole ...
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge ametua nchini na kuanza na rekodi ya aina yake akiwa hajapoteza mechi ndani ya dakika 90 dhidi ya timu zilizomaliza ndani ya tano bora msimu uliopita, huku akisema kaz ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results