OFISI ya Afisa Madini Mkazi Mbogwe imetoa ufafanuzi kuhusu tukio la ajali lililotokea katika Mgodi wa Dhahabu wa Msasa kwamba wakati tukio linatokea hapakuwa na shughuli zozote za uzalishaji katika en ...