Fauzia Rajab Shaban, mwanafunzi mwenye ualbino kutoka Kisauni, Zanzibar, aliyehitimu kidato cha sita na kupata ufaulu wa daraja la kwanza, ameeleza kuguswa na kusikitishwa kwake na matukio ya ukatili ...
Chama cha Hisabati Tanzania (MAT/CHAHITA) kimetangaza matokeo ya Mtihani wa Mashindano ya Kitaifa ya Hisabati (TAMO) mwaka huu, yakionesha wavulana kuongoza kwa kupata alama za juu ukilinganisha na ...
Chombo cha habari chenye uhusiano na Chama cha Kikomunisti cha China kimeweka mtazamo wa mtaalam mmoja kwamba matokeo ya uchaguzi wa Februari 8 wa Baraza la Chini la Bunge la Japani, yataleta hatari ...
Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed. Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika Novemba 2025, yakionesha picha mseto ya ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 17, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumamosi Januari 31, 2026 na ...
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu kwa darasa la nne umeongezeka asilimia 2.67 na ufaulu kidato cha pili ...
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Côte d'Ivoire imechapisha matokeo makuu ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27. Uchaguzi huo ulioshuhudia uwepo mkubwa wa wagombea huru, mashindano kati ya chama ...
MITIHANI ya taifa ya kidato cha nne imeanza leo nchini ikiwa ni kilele cha safari ya miaka minne ya masomo kwa maelfu ya wanafunzi wa shule zote za sekondari za serikali na binafsi. Wakati wanafunzi ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Siku ya Jumapili jioni, Waziri wa Mambo ya Ndani amesoma matokeo yaliyo wazi ya uchaguzi wa wabunge, jimbo kwa jimbo, lakini bila kutoa takwimu za jumla. Amebainisha kuwa kati ya viti 145 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results