Katika vyumba vya habari vya magazeti, siku zote kuna sauti nyingi zinazochanganyika. Humo waandishi wanakusanya taarifa, wahariri wanachambua maudhui, wapigapicha wanachagua picha sahihi na ...
‎Shule ya Sekondari The Lord’s Hill iliyopo wilayani Kilolo mkoani Iringa imewapongeza wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne mwaka jana kwa kuwapatia zawadi ya kompyuta mpakato ...
MSIMU mbaya wa Tottenham Hotspur umezidi kudhihirika zaidi baada ya kipa, Antonin Kinsky kutolewa uwanjani mapema katika dakika ya 17 wakati timu hiyo ikipokea kipigo cha aibu dhidi ya Atletico Madrid ...
Nchini Burkina Faso, shambulio jipya limelenga vikosi vya usalama siku ya Ijumaa, Machi 6. Shambulio hilo liliwalenga maafisa kutoka GUMI (Kikosi cha msaada wa haraka), kilichopo Yamba, yapata ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amevuka kikwazo cha kwanza katika maombi yake ya kujumuishwa katika kesi ya madai ya mgawanyo usio sawa ndani ya ...
SERIKALI iko katika hatua za mwisho za kuanza upanuzi wa barabara ya Kitonga mkoani Iringa ambayo sasa itakuwa ya njia nne na yenye taa za barabarani. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa ...